Adverts Lifestyle Music News Uncategorized

VOTE: DJ D OMMY nominated kwenye ‘African Entertainment Awards – USA’

Jul 08, 2016 GongaMx

Dj D-Ommy Dj mkali wa CLOUDS FM ametajwa kuwania tuzo za AFRICAN ENTERTAINMENT AWARDS USA kwenye kipengele cha BEST DJ zitakazotolewa Nchini Marekani.

Tumpigie Kura za kutosha kupitia link iliyopo kwenye bio yake ya @djdommy kwenye Instagram au unaweza tembelea mtandao wa awards hizo “WWw.aeausa.net” kuwexa kupifa kura kwa nguvu zote ili aweze kuleta ushindi huu nyumbani Tanzania na East Africa kwa ujumla.

VOTE for Dj D-OMMY.

Comments

comments