Lifestyle Music News Uncategorized

Tiwa SAVAGE ajiunga na Jay Z’s ROC Nation family.

Jul 29, 2016 GongaMx

Msanii Tiwa Savage wa nchini Nigeria ameripotiwa kujiunga na ROC Nation management kampuni ambayo inasimamia wasanii wenye vipaji vya aina mbali mbali.

Katika amelezo yaliyotolewa na website ya ROC Nation ikiwa na kichwa cha habari Welcome Tiwa Savage to the Roc Nation family.” ambayo ikiwa na maelezo kuwa ni kati ya makubalioano ya Marvin Records ya nchini Nigeria inayomilikiwa na Don Jazzy. ROC Nation Management ni kampuni inayomilikiwa na Music Mogul na BusinessMan Jay Z ambayo inawamiliki wasanii wakubwa kama Rihanna, Fabolous, Emeli Sande, Big Sean, DJ Khaleed pamoja na wana sports ambao wapo ndani ya NBA vile vile hivi karibuni ilifanya mkataba na mcheza mpira wa miguu Soccer.

Kwenye mazungumzo katika Interview iliyofanyika kwenye radio kubwa sana mjini New York alisema kuwa, kujiunga kwake na Roc Nation hakutobadilisha style yake ya muziki au kumfanya yeye kuwa tofauti. Tiwa sababu ambayo hakutaka kutangaza mapema sababu hakutaka kuwa kama wasanii wengine ambao wanatangaza wameingia mikataba na kampuni kubwa za nchini marekani lakini bad huoni tofauti yoyote kati ya walipokuwa zamani na baada ya mikataba hiyo, kwa hiyo yeye na team yake waliamua kufanya kitu tofauti kidogo.

“The reason why we did not really make too much noise about it is because a lot of people come over from Africa and they say they’ve got this deal and that deal, and then nothing happens. We just wanted to do it the proper way, get it official. I didn’t want to do that to my people. I wanted them to really believe that it was really happening, so we wanted to wait for the right time, and the time is now.” – Tiwa Savage

Alizungumza huku akiwashukuru Don Jazzy pamoja na team nzima ya Marvin Records… “It feels like home. I’m really really excited. A huge thank you to my Mavin family, Don Jazzy for making this dream come true. Thanks to the fans”, Tiwa alisema katika video posted on social media.

Vile vile alizungumzia Roc Nation kama ni kampuni tofauti na kuwa wapo tayari kuchukua vipaji kama vilivyo na sio kutaka kuvibadilisha viwe zaidi kama Marekani. Aliongeza kuwa ni uonezo la nguvu katika kazi za ubunifu ziweze kufika mbali kutokana na kazi nzuri ya management ambayo kampuni hiyo inafanya.

“Roc Nation they really just want to bring what I already have to offer to the rest of the world, and they truly believe in the movement. So yeah, I’m really excited about it.” – Tiwa Savage

 

Comments

comments