Fashion Lifestyle Uncategorized

PICHA: Kevin kutoka Kenya achukua nafasi ya juu kwenye Mr. World 2016 huko Southport – UK

Jul 20, 2016 GongaMx

Mr. World 2016 ni mashindano ambayo hufanyika kila mwaka ambapo mwaka huu mashindano hayo yalifanyika mjini Southport nchini Uingereza ambapo mwana Afrika Mashariki Kevin mwenye umri wa miaka 21 alichukua kati ya nafasi 4 za juu na kuweza kuwapewa nafasi ya Mr. Africa.

13710726_10155065634064488_2731304195870118389_o 13701236_10155065634759488_4110215911074044247_o

“I am still ecstatic. It is amazing. I can’t believe this. It is an awesome feeling. I am lost of words and I thank God for all this,” a jubilant Kevin told Pulse minutes he was announced the fourth best. Surprisingly, I have been expecting to score well here and I am grateful I made it through,” alisema Kevin.

13691017_10155065636004488_4079389264375345335_o 13667727_10155065639004488_8689092533302750470_o

Kevin, ambae alisimamisha bendera ya Kenya katika mashindano hayo ambayo mshindi alikuwa Mr. India Rohit Khandelwah, mwenye umri wa miaka 26 ambae ni actor na TV personalit, wakati nafasi ya 2 ilichukuliwa na Puerto Rico na Mr. Mexico kukamata 3.

13667727_10155065639004488_8689092533302750470_o 13735141_10155065632689488_3852102960988408588_o

“I am very humble to be the 1st Asian to crown Mr. World 2016” Rohit alisema kwenye moja ya Interview baada ya mashindano hayo kuisha hapo jana.

 

 

Comments

comments