Fashion Lifestyle Uncategorized

Peter S. Walden “PSW”: Designer Mtanzania ndani ya NYFW na DC Fashion Week. (@peter_walden)

Jun 08, 2016 frank

Pata kumjua na kujua kazi za Peter S. Walden – PSW mtanzania designer aliebobea kwenye nguo za wanaume, ambae ameshafanya mambo mengi sana nchini Marekani, China na nchi nyingine duniani kwa kazi zake zijulikanazo kama “Perfect Gentlemen”

Perfect Gentlemen by PSW mavazi ambayo yameonyeshwa kwenye maonyesho makubwa ya mavazi nchini Marekani kama New York Fashion Week (NFW), CHINA pamoja na  collection yake ijulikanayo kama “The Last Suit” ndani ya DC FASHION Week International Couture Show. Angalia picha za kazi ya mikono ya PSW kuanzia michoro ya vazi. Fuatilia @peter_walden kwenye mitandao ya kijamii kuona zaidi.

 

{Know the Tanzanian born Designer Peter S. Walden who resides in America.   Designer Peter S. Walden aka PSW of Perfect Gentleman by PSW suit during DC FASHION Week International Couture Show presenting his suit Collection called “The Last Suit”, see behind the scenes sketches and the final products.  Designer Peter Walden has also showed his collections in NYFW,  DC, China, just to name a few.} FOLLOW @peter_walden for more information.

 

 IMG_20140929_233824 IMG_20141005_204428 IMG_20141026_032420 IMG_20141031_161305IMG_20141027_090115IMG_20140919_092813 

 

ANGALIA KAZI YA MIKONO YAKE KUANZIA MCHORO MPAKA UKAMILIFU WA VAZI

IMG_20160519_073522 IMG_20160519_073925 IMG_20160522_025803 IMG_20160522_234152 IMG_20160605_003547 IMG_20160605_011338 

Comments

comments