Fashion

PEPSI YAJA NA CHUPA ZA ALLUMINIUM KWA AJILI YA MAONESHO YA MITINDO

Apr 25, 2016 adam

Kampuni ya vinywaji baridi ya Pespi imetoa chupa mpya za kinywaji hicho aina ya Pepsi, Chupa ambazo zimetengenezwa kwa aluminium zikiwa ni maalum katika maonesho makubwa ya mitindo duniani yafanyikayo kila mwaka mjini Milan.

fashion

 

Chupa hizo mpya za kinywaji aina ya Pepsi zilioneshwa katika wiki ya mitindo April 12 – 17 2016,  mjini Milan.

pepsi

Chupa hizo zipo za aina tatu zilizotofautishwa kwa rangi kulingana na aina za vinywaji vya Pepsi, Pepsi Light, na Pepsi Max.

Chupa hizo maalumu ndizo zitakazotumika katika matukio yote yatakayokuwa yakidhaminiwa na kampuni ya Pepsi.

 

Comments

comments