Stori za Mastaa

NE-YO AMMWAMGIA SIFA DIAMOND PLATNUMZ INSTAGRAM

Dec 13, 2016 GongaMx

Msanii maarufu nchini Marekani Ne-yo ambaye hivi karibuni amefanya collabo na Diamond Platnumz ya wimbo unaokwenda kwa jina la Marry You leo amemmwagia sifa Diamond na kudai kuwa msanii huyo ambaye ni Rais wa lebo ya WCB kuwa ni miongoni mwa wasanii bora barani afrika.

Ne-Yo aliyasema hayo wakati akiutangaza wimbo wake aliofanya na Diamond ambapo amewahimiza mashabiki wake kuutafuta wimbo huko kupitia iTune.

ne-yo

Sambaza Makala hiiShare on FacebookTweet about this on TwitterShare on LinkedInShare on Google+

Comments

comments