Fashion Lifestyle Stori za Mastaa Uncategorized

Lupita Nyong’o atajwa kuwa Uso wa Tiffany & Co. advertising Campaign

Jul 20, 2016 GongaMx

Lupita Nyong’o ametajwa na creative director wa U.S Vogue kuwa uchaguzi huu ni ki-historia sababu kampuni hiyo haijawahi kutumia celebrity yoyote katika kampeni zao kwa zaidi ya miaka 176 na hii ni mara ya kwanza katika historia ya kampuni hiyo kubwa duniani ya kutengeneza vito vya thamani kuweza kumchagua Lupita.

071916-lupita-tiffany-instagram

Lupita ambae amechaguliwa pamoja na Elle Faming, models Christy Turlington, Natalie Westling katika kampeni hiyo mpya ijulikanayo kama¬†‘Legendary Style’ advertising campaign. Maneno hayo yamezungumzwa na Grace Coddington ambae amekuwa Creative partner april 2016.

 

 

Comments

comments