Fashion Lifestyle News Uncategorized

Kanye West aachia Video ya wimbo tangazo kwa ajili “BALMAIN – Paris” akiwa na mkewe Kim Kardashian West.

Jul 29, 2016 GongaMx

Msanii Kanye West muda si mrefu ameachia video mpya kwenye channel yake ya Vevo ijulikanayo kama “Wolves” ambayo ni campaign mpya ya kampuni ya mavazi ya nchini Ufaransa “BALMAIN – Paris”. Kanye West akionekana anatoa machozi anamlilia mkewe pamoja na wakina dada wazuri sana lakini wanamtolea machozi Kim  Kardashian West. Hii ni moja kati ya kazi tofauti ambazo Kanye West ameamua kufuata mlengo wake wa utengenezaji sanaa.

Video hiyo yenye wanadada wa kutosha, ambayo mmemshirikisha mkewe Kim Kardashian West pamoja na shemeji yake Kylie Jenner ambayo ni nyimbo tangazo ilkiwemo matangazo ya nguo pamoja na vito vya thamani walivyovaa wasanii hao kama “Kim Kardashian West Wears Jewelry by: Lorraine Schwartz and Kanye West Wears Vintage Denim Jeans by: Fear Of God” ambazo zimepostiwa katika video hiyo pamoja na wote walishiriki utengenezeja wa sanaa hiyo.

“This is definitely one of the most incredible campaigns I’ve ever done. When I saw Kanye singing, Kim moving, the models walking and crying, the tears on Kanye, the tears on Kim. I was just like, ‘Wow.’” said  Balmain’s creative director Olivier Rousteing,

Angalia Wolves..

Comments

comments