Fashion Lifestyle

JOKATE AAMUA KUWA ‘SERIOUS’ KWENYE BIASHARA; AINGIZA SOKONI MABEGI YA MGONGONI “KIDOTI BAGS”

Nov 18, 2016 GongaMx

Mjasiriamali na mwanamitindo mashuhuri nchini, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoto ambaye pia aliwahi kuwa mshindi wa pili wa shindano la Miss Tanzania mwaka 2005 amekuja kivingine katika suala zima la ujasiriamali baada ya kuingiza sokoni mabegi ya kubeba mgongoni aliyoyapa jina la KIDOTI BAGS ikiwa ni toleo la kwanza kama ambavyo ameyatambulisha kwenye ukurasa wake wa Twitter

 

Tazama baadhi ya picha za mabegi hayo: 

kidoti2

kidoti3

Comments

comments