Adverts

BEN POL NA LINAH WAMUUNGA MKONO DYNA NYANGE KWENYE UJIO WA NGOMA YAKE MPYA YA “KOMELA”

Jul 18, 2016 GongaMx

Baada ya kimya kirefu, msanii Dyna Nyange sasa anakuja na ujio mpya ambapo siku ya Jumatano ya tarehe 20 mwezi huu wa Julai ataachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Komela aliyomshirikisha msanii Billnass.

Ujio wa ngoma hiyo iliyotengenezwa na Producer Mr. Ttouch, umepokelewa vyema na baadhi ya wasanii wa kizazi kipya nchini wakiwemo Ben Pol pamoja na Linah ambao kwa nyakati tofauti wamepost kwenye akaunti zao za Instagram wakiwahimiza mashabiki kukaa mkao wa kula kuusubiri ujio huo mpya wa Dyna.

 BEN POLben

 

LINAH

komela

Comments

comments