Fashion Mahusiano Music Nyumbani Stori za Mastaa Weekend

African Muzik – Diamond Platnumz

Dec 24, 2015 brenda

 • Read More

  Diamond aliezaliwa 2 Octomber 1989 amekua akifanya vizuri katika muziki nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Diamond aliwabwaga wakongwe wengine wa Muziki barani Afrika kama vile Wizkid alieshika nafasi ya pili na Olamide nafasi ya tatu na Davido alieshika nafasi ya nne.

 • Jarida African Muzik limetoa orodha ya wasanii bora Kumi na Tano wa Barani Afrika. Mwanamuziki wa Kitanzania Nasibu Abdul Juma almaarufu kama Diamond Platnumz ameibuka kuwa namba moja.

  diamond

   

  Comments

  comments