About Us

“GongaMX “East Africa’s Local Online Entertainment” ni forum ambayo inakuweka karibu kabisa na East Africa Entertainment kwa ujumla. GongaMX ni sehemu ambayo itakupa habari na taarifa za uhakika katika Nyanja mbali mbali za burudani kama Muziki, Mavazi, Movies na kila kitu kihusianacho na BURUDANI kwa staili yetu ambayo tunajua kabisa wewe mteja wetu unaetutembelea na kutusoma tovuti yetu utaweza kuburudika ipasavyo ndani ya East Africa na kimataifa.”

“GongaMX “East Africa’s Local Online Entertainment” Aimed to connect all kind of East Africans social audience and provide news and information from East Africa Entertainment Industry in general. GongaMX.Com brings you Fashion, Music, Movies & Lifestyle. We are here to give you ENTERTAINMENT Plus, Local (East Africa) and International information that we know you will genuinely enjoy.”

KARIBU SANA.

Founders.

Frank Gonga & Michael MX Carter